Haijawahi kutokea, Serikali yaidai Acacia shilingi trilioni 424 kwa kukwepa kodi tangu 2000, Lissu aenda rumande na fulana ya Ukuta, Mawakili wa Serikali wapinga asipewe dhamana, Werema afunguka kauli ya Tumbili…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 25, 2017. Tazama video hapa

RC Mtaka atoa mbinu mbadala kufikia uchumi wa kati Simiyu
Wakili wa Lissu asema 'neno' baada ya mteja wake kupelekwa rumande