Hali mbaya Kibiti, kiongozi mwingine wa CCM auawa kwa risasi nyumbani kwake, Watendaji wa Vijiji, Kata wakimbia vituo vyao kwa hofu ya kuuawa, Meya Arusha, viongozi wa dini mbaroni kwa amri ya Gambo, Mzee wa miaka 74 ahukumiwa kunyongwa, Maofisa ardhi Dar wakalia kuti kavu…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 19, 2017. Bofya hapa kutazama.

?Live: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Mei 19, 2017
Democratic wazidi kumbana Trump, wataka uchunguzi ufanyike kwa uhuru