Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi ameagiza kusimamishwa kazi kwa Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Mwananyamala, Dkt. Delila Mushi.

Hapi ametoa tamko hilo kufuatia ziara ya kushtukiza katika hospitali hiyo ambapo amebaini tozo kubwa la shilingi 10,000 badala ya shilingi 3,000 kwa wagonjwa wanaofika kwaajili ya kupata matibabu. Bofya hapa kutazama ilivyokuwa    #USIPITWE

Video: Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Ally Hapi alipofika hospitalini hapo na kubaini hili:-

 

Video: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi aibua madudu Hospitali ya Mwananyamala:- 

Video: Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Ally Hapi akitangaza kukamua jipu:-

Hapi – Hatuwezi kuruhusu mtu yeyote kuigeuza hospitali ya Mwananyamala:-

Mtu Mmoja Akamatwa Nchini Nigeria Kwa Kumuita Mbwa Wake Jina La Rais Wa Nchi Hiyo
Jamal Malinzi Ampongeza Rais BFA