Sikiliza hapa toka studio za Dar24, watangazaji wake wakiongozwa na Haroun Tambwe wakichambua ngoma mpya zilizoachiwa leo, ikiwemo ngoma ya Harmonize ‘Tepete’ na Marioo ‘Aya’.

Ambapo hadi kufika muda huu ngoma mpya ya Harmonize aliyomshiriksha Eaze imefikisha watazamaji 20,458, ambapo kwa masaa kadhaa bado hajavunja rekodi ya Uno, huku ngoma ya Marioo aliyoachia muda mfupi inayoenda kwa jina la ‘Aya’ ikiwa imefikisha watazamaji 61,740.

Kwa idadi hiyo Marioo anakimbiza, je ni kweli ngoma ya Marioo ni kali kuliko ya Harmonize aliyemshirikisha msanii toka Nigeria, Mr Eaze.

Tazama hapa na sikiliza wachambuzi hawa.

Video: Kilio cha King Kibadeni klabu ya Simba, Yanga , ''Timu zinatawaliwa na wageni sio sawa''
Mchezaji wa Uganda afungiwa maisha

Comments

comments