Hatimaye fedha kurudi mitaani, Maalim Seif amtibua nyongo Dk Shein Z’bar, UVCCM yaonya, yadai wanachofanya ni kutafuta huruma ya kisiasa… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 10, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Comments

comments