Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika ziara ya siku nne katika mikoa ya Singida, Tabora, Shinyanga na Geita akitokea mkoani Dodoma ameszungumza na wananchi wa Manyoni Singida kuhusu wabunge wa upinzani kususia bunge na mahakama ya ufisadi pamoja madai yaliyotolewa na vyama vya upinzania kuhusu kuzuia shughuli za kisiasa. Bofya hapa chini kutazama video. #USIPITWE

Video: Bilioni 20 za Dewji zitakavyotumika kuiimarisha Simba
Kiwanda Cha Dangote Chatozwa Faini Milioni 15