Wizara ya Maliasili na Utalii iliyoomba kutengewa kiasi cha Sh. 135,797,787,000 katika hotuba iliyowasilishwa na Waziri wake Jumanne Maghembe.
Wabunge walipata nafasi pia ya kuchangia ambapo Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega yeye kwa upande wake aliyaona haya

Wakati mwingine hata mimi nashawishika kufikiria kwamba kabla hatujaingia kwenye jengo hili tuwe tunapimwa kama tumevuta marijuana, katika hali ya kawaida kijana hata kama umepigiwa kura na kuaminiwa na wananchi ukaenda kutukana lazima utakuwa na tatizo kwenye akili yako…., Jana yupo mwenzetu mmoja wa kutoka Chama ninachotoka amezungumza mambo ya ajabu sana hapa, unaweza kuona ni kwanamna gani watu hawaelewi ni nani katika nyumba hii ameingia  bila ya Chama kilichomleta. Wote tumezaliwa na vyama vyetu, hii michezo haitaki hasira…” – Abdallah Ulega

Silvio Berlusconi: Hatujaridhishwa Na Balotelli
Viongozi Afrika Wataka Ushirikiano Zaidi Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi