Magereza yote duniani ulinzi ni kitu cha kwanza kukiwekea mkazo kutokana kwamba sehemu hiyo huhusika kuhifadhi watukutu na wahalifu ambapo kuna nyakati wahalifu hao hujaribu kutoroka hivyo ulinzi ni lazima na muhimu katika maeneo hayo.

Leo katika kipindi cha Zaidi nimeangazia magereza matano yenye ulinzi mkubwa zaidi duniani, ambapo muhalifu yeyote atakaye jaribu kutoroka huishia kufariki dunia kutokana na miundombinu na ulinzi mkali uliopo kwenye magereza hayo na haijawahi kutokea mtu kutoroka kwani wote waliojaribu kutoroka walifariki dunia.

Aidha kipindi cha zaidi ni kipindi ambacho kinaangazia mambo mbalimbali yaliyowahi kuvunja rekodi hapa duniani, usikose kutazama kila siku ya jumatatu katika chaneli ya YouTube ya Dar24.

Fahamu magereza hayo hapa chini.

Video: Hii ndiyo sababu, Ukitoroka kwenye magareza haya lazima upoteze maisha
Video: Tazama ulinzi wa Trump ulivyo mkali, Barack Obama haingii ndani

Comments

comments