Afrika ni moja ya bara lenye nchi nyingi hapa duniani na watu wake ni watu wenye uhuru katika maeneo mengi sana ikiwemu kibiashara, kuoa na kuolewa na kadhalika, lakini katika bara hilo zipo nchi ambazo zinasifika kuwa na wanawake wazuri sana  hali inayopelekea mwanaume wa kitanzania kushawishika kutafuta mwanamke wa nchi nyingine vivyo hivyo mwanaume wa nchi nyingine kushawishika kutafuta mwanamke Tanzania.

Na hili tumelishuhudia hata kwa wasanii maarufu hapa nchini kama Ambwene Yessaya maarufu kama AY ambaye ameoa Mnyarwanda na Ali Kiba ambaye ameoa Kenya huko Mombasa.

Ukweli ni kwamba Tanzania ina Wanawake wazuri sana wanaosifika kwa kutunza nyumba, kusafisha chumba na kupamba chumba na kubwa kuliko yote wengi wao ni wajuzi kwenye kitanda.

Tanzania yapo makabila mengi na kila kabila lina tabia na sifa zake, baadhi ya makabila yanasifika kuwa na wanawake wazuri wenye mvuto, wavumilivu, wachapakazi, watii, wenye heshima kwa waume zao na wenye malezi bora kwa familia zao.

Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na majalada mbalimbali haya hapa ndiyo makabila kumi yanayopatikana nchini Tanzania yanayosifika kuwa na wanawake wanaofaa kuoelewa kwa lugha ya kiingereza wanasema ”Wife Material” je unakubaliana na tafiti hii kwa asilimia ngapi?.

  1. Wahaya
  2. Wanyakyusa
  3. wasambaa
  4. Wanyaturu
  5. Wanyiramba
  6. Wachaga
  7. Wambulu
  8. Wahehe
  9. Wakurya
  10. Wangoni na kadhalika.

Tazama hapa chini Nchi zinazopatikana Afrika zenye wanawake wazuri zaidi, ikiwemo Tanzania.

Video: Mbowe afanya maamuzi magumu Chadema
Video: Zifahamu nchi 5 zenye wanawake warembo barani Afrika

Comments

comments