Tayari tupo katika mwezi mpya wa Aprili 1, 2017 ambapo kwa mwezi mzima wa Machi 2017 kumekuwa na maingizo mapya ya nyimbo, hasa nyimbo za HiHop.

Wasanii mbali mbali wa HipHoP wemeachia video zao na kufanya vizuri kama wimbo wa ‘On The Come Up’ wa Mike WiLL akimshirikisha mkali Big Sean, pia ‘Humble’ wa Kendrick Lamar.

Hii hapa orodha ya video 6 mpya na kali za HipHop zilizotoka hivi karibuni. 

1. Kendrick Lamar – HUMBLE.

2. Rich Homie Quan “Da Streetz” (WSHH Exclusive – Official Music Video)

3. Mike WiLL Made-It – On The Come Up ft. Big Sean

4. Migos – What The Price [Official Video]

5. Iggy Azalea – Mo Bounce

6. Juelz Santana “Up In The Studio Gettin Blown Pt. 2” (WSHH Exclusive – Official Music Video)

#HapoKale
Ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia yaipasua kichwa Tanesco