Mkuu wa Jeshi la polisi nchini, IGP Simon Sirro  amesema waliomteka mfanyabiashara Mo Dewji, walikuwa na silaha moja ya kivita na pisto 3, ambapo silaha hiyo ya AK 47 ilikuwa na risasi 19 ni  silaha ya kivita iko vizuri na inapiga.

Tazama hapa akionesha silaha za moto zilizotumika na watekaji hao.

Video: Ndege inayotumiwa na Rais wa Marekani katika ziara zake, ni ndege yenye ulinzi mkali haijawahi kutokea
Sirro atoa onyo kali wanaopingana na kazi ya jeshi la polisi Tanzania

Comments

comments