Teknolojia ya utengenezaji filamu katika nchi zilizoendelea ni kubwa sana kulinganisha na nchi zinazoendelea hasa Tanzania, Filamu nyingi zimekuwa zikitengenezwa kwa ukawaida sana.

Teknolojia imekuwa, ukiachana na ukubwa huo filamu za nje waigizaji wamefanikiwa kuigiza kwa kuvaa uhusika kikamilifu.

Kibongo bongo filamu ya kutisha ambayo imewahi kufanya vizuri na kuongelewa na watu wengi ni ile ya Insyuka, na bongo filamu ya kutisha ndiyo zile jini anasubiri magari yapite avuke barabara, jambazi anavua viatu mlangoni, tomato kufanywa damu na kadhalika.

Sasa filamu hizi ndiyo maana halisi ya filamu zinazotisha tazama hapa nimetaja filamu 10 zilizoweka rekodi ya kutisha zaidi duniani.

Wewe unaifahamu ipi ambayo haijatajwa kwenye listi hii.

Bobi Wine kufanya maandamano Uganda
Miradi 74 kutembelewa na Mwenge mkoani Kagera

Comments

comments