Hukumu ya Kenya yaendelea kutikisa nchini, DCI akiri utata miili ya viroba, ni ile iliyokutwa ikielea baharini, wenye ndugu waliopotea waitwa kwa utambuzi , nchi jirani pia zaalikwa, Kairuki yamruka kimanga mgonjwa, Polisi yamnasa mtekaji watoto…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 4, 2017. Tazama video

Lukaku aipeleka Ubelgiji kombe la dunia 2018
Marekani yatishia kuitwanga Korea Kaskazini