Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro amesema kuwa suala kubwa la kuhakikisha kila mmoja anatimiza majukumu yake ni lazima kuwepo na nidhamu katika utendaji kazi.

Ameyasema hayo jijini Dar es salaam mara baada ya kumuapisha kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar (CP), Mohamed Hassani Haji, Makao Makuu ya Jeshi hilo baada ya  kuteuliwa na Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli

“Ili kila mmoja atimize majukumu yake, ni lazima kuwepo na nidhamu ya hali ya juu, huwezi kukaa ofisini tu wakati wananchi wanahangaika,”amesema IGP Sirro

 

Magazeti ya ndani na nje ya Tanzania leo Februari 13, 2018
Serikali kuimarisha mfumo wa utoaji huduma za madawa

Comments

comments