Tazama historia ya mtoto aliyezaliwa na uwazi usoni, akiwa hana pua, macho na mdomo ukiwa umepinda.

Familia yake ilimtenga, Mama na mchungaji wa kanisa la Mlima wa moto, Getrude Lwakatale jana alimtembelea na kumpa msaada kama namna ya kumtia moyo katika mazingira magumu anayotumia kumlea mtoto huyo mwenye ulemavu.

Ridhiwani Kikwete atoboa siri ya CCM kupendwa na wananchi
Makala: Kwanini Pierre Liquid abaki kuwa juu? Amepaa vipi alipotakiwa kuanguka!