Daktari wa Binadamu, Sia Mtui kupitia kipindi cha ‘Afya Tips’ cha Dar24 ametaja kazi na umuhimu mkubwa wa ini kwa mwili wa binadamu.

Ambapo ametaja moja ya kazi kubwa ya ini ni kutengeneza Protini zinazomsaidia binadamu pale anapokuwa amejikata, protini hizo hufanya kazi ya kugandisha damu kwenye jeraha ili isitiririke kwa wingi.

Fahamu kazi nyingine za Ini katika mwili wa binadamu.

Daladala zatakiwa kupisha ujenzi wa miundombinu kituo cha Gerezani
Je, mifuko ya sare za polisi ni kishawishi cha kula rushwa?

Comments

comments