Itakuwa mshike mshike Bungeni, wabunge watafakari kujadili hoja nzito 10, Lissu: Nilinusurika kupigwa na Wassira, Masalia ya wasaliti CCM yaundiwa ‘Jeshi’, Mgomo wa mabasi usio na kikomo watangazwa…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 2, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Rais Dkt. Magufuli: ole wake atakaeingilia kamati niliyoiunda
Mwinyi: Tanzania inahitaji kuombewa