Wakali wa Bongoflevani GentrIez, Belle 9 naYoung Dee wametuandalia kichupa cha ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la ‘Chapaa’ ikiongozwa na  director Hanscana kutoka Wanene Entertaiment. Chapaa ni ngoma ya kwake GentrIez akiwashirikisha Belle 9 naYoung Dee  #USIPITWE