Msanii wa bongo fleva Aslay anayetamba kwa sasa na ngoma kali kama ‘Muhudumu’ na ‘Angekuona’ ametoa video ya wimbo wake mpya unaitwa ‘Baby’
Msanii huyo ambaye amekuwa na mfululizo wa kutoa ngoma kali akiwa peke yake bila kundi la ya moto band anaendelea kuonyesha uwezo wake binafsi katika muziki.
Unaweza kuitazama video hiyo hapa chini;