Nyota wa muziki wa Bongo fleva Abelnego Damian maarufu kama Belle 9 ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Dada’.

Video ya wimbo huo imefanywa na mwongozaji wa video ‘Creator Pro’. Tangu alipoachia video ya ngoma ya ‘Mfalme’ Balle 9 amekuwa kimya kwa muda kidogo lakini sasa amekuja na kitu cha kukata kiu ya mashabi wake.

Itazame video hiyo hapa chini;

Vikongwe wapewa mafunzo ya kujihami dhidi ya wabakaji
Mambosasa aibuka na Dk. Shika kurejea na mabilioni

Comments

comments