Mwanamuziki wa R&B kutoka Marekani John Roger Stephens maarufu kama John Legend ameachia video ya wimbo unaitwa ‘Penthouse Floor’ kutoka katika albam yake ya Darkness & Light iliyotoka mwaka 2016, katika wimbo huo John legend amemshirikisha Chance the Rapper.

John legend mwenye umri wa miaka 23 amesema wimbo huo unalenga kuwaleta watu pamoja na maudhui ya video hiyo ni kutaka kutoa ujumbe kwa hali inayoendelea nchini Marekani.

Tazama video hiyo hapa chini;

Aggrey Mwanri afuta likizo kwa watumishi
Polepole: Mgombea ubunge sharti awe mkazi wa jimbo analowakilisha