Wasanii wa Tanzania All Stars wametoa Video ya wimbo wao wa ‘Uzalendo’ wimbo ambao unahamasisha Uzalendo wa kuipenda nchi ya Tanzania na kuwa na upendo pamoja na Mshikamano.

Wimbo huo wa ‘Uzalendo’ ambao umewakutanisha wasanii mbalimbali wanao Rap pamoja na wasanii wanao imba kutoka Tanzania huku asilimia kubwa ya wasanii hao wakiwa ni wazawa wa nchi hiii.

Miongoni mwa wasanii ambao wameshiriki kwenye wimbo huu wa Uzalendo ni pamoja na Fid Q, Maua Sama, Ben Pol, Saida Karoli, Aslay, Rayvanny, Barnaba, G nako, Roma, Stamina, pamoja na wengine wengi.

Tazama Video hapa

Msuva asikitishwa na Stars kufanya vibaya Challenge

Comments

comments