Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es saalam limemuua jambazi hatari maeneo ya Masaki barabara ya Msasani kufuatia msako unaofanywa na kikosi maalum cha kupambana na ujambazi.

Akitoa taarifa hiyo Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam  amesema Askari wakiwa doria maeneo hayo ghafla walisikia mtu akiomba msaada huku akisema “Nakufa nakufa” toka kwenye bajaji No. MC 754 AGV aina ya King. Bofya hapa chini kutazama video

Bastian Schweinsteiger Atangaza Kustaafu Soka
Uchaguzi Wa Viongozi Wa Soka Bagamoyo Wapigwa Stop