Mkuu wa Wilaya ya Arumeru iliyopo mkoani Arusha, Jerry Muro ameichana hotuba aliyokuwa ameandaliwa huku akiita kuwa kilichoandikwa humo ni upuuzi.

Ameyasema hayo wilayani Arumeru alipokuwa akizungumza na viongozi mbalimbali wa ushirika, ambapo amesema kuwa watu wote walioshiriki ubadhilifu wajisalimishe.

“Hii hotuba iliyoandaliwa ni upuuzi mtupu, mimi naelewa kila kitu, haiwezekani mtu akaandaa hotuba na kunisifia mimi na ilani ya chama cha mapinduzi,”amesema DC Murro

 

Amir Khan kusuka au kunyolewa leo, amuota Manny Pacquiao
Mwanakwaya kufia 'gesti' kwazua mengine

Comments

comments