Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam linawashikilia watuhumiwa watatu wakazi wa buguruni kwa kosa la kukutwa na nyaraka bandia za serikali kama vyeti vya kidato cha nne, stika za SUMATRA, vyeti vya vyuo vya uuguzi, vyeti vya kuzaliwa, leseni bandia za biashara, nyaraka za bima na mihuri mbalimbali ya ofisi za serikali na binafsi.

Kufuatia sekeseke hiyo jeshi la Polisi limetangaza balaa kwa wote walionunua vyeti hivyo feki kwa sababu watatutajia kila mmoja mmoja na tutakufuata huko ulipo’.

Pia Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam, Simon Sirro amesema ukamataji wa wale wanaotumia Shisha ambayo tumebaini inaongezwa vitu vingine kama bangi na unga wa dawa za kulevyaunaendelea

Mwingine Wa Ivory Coast Kufanyiwa Majaribio Azam FC
Billnass anahitaji Mwanamke Mwenye Hofu ya Mungu, Vipi kuhusu Linah!!