Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam limefanya msako wa wahalifu ndani ya wiki moja na kufanikiwa kuwanasa watuhumiwa 771.

Akieleza hayo Kamishna kanda maalum ya Dar es salaam, Simon Sirro ametaja pia kukamatwa kwa watuhumiwa wa uhalifu ‘Panyaroad’ na pia jeshi hilo limebaini kuwa kuna mtu anayejihusisha na kuwaagiza kufanya uhalifu huo.

Sakata la sukari bado changamoto.
watuhumiwa 711 wakamatwa Dar es Salaam.