Jinamizi la uchaguzi mkuu 2015 bado laitesa CCM, Hospitali ya Kairuki yaingia matatizoni, ni kwa kumuacha mgonjwa akiwa na vifaa vya kumzalishia ukeni, “Baada ya uchunguzi, madaktari walishauri aondolewe kizazi kutokana na kuharibika kwa kuwa waliacha vitu vilivyotumika kumzalishia, ikiwemo pamba…“, Mawakili watangaza mgomo nchi nzima…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 28, 2017. Tazama video

Homa ya Nguruwe tishio nchini India
Arsenal Wenger awataka mashabiki kuwa wavumilivu