Leo June 4, 2019 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amefanya ziara ya kushtukiza katika soko kuu la Kariakoo na kukagua vitambulisho kwa wafanya biashara sokoni hapo.

Akifanya ukaguzi huo na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP, Lazaro Mambosasa  wamewachukulia hatua za kisheria wafanya biashara wote ambao wameenda kinyume na agizo la Rais, Dk. john Pombe Magufuli la kumiliki kitambulisho.

Tazama hapa chini jinsi mfanyabiashara aliyemiliki kitambulisho feki alivyotiwa mbaroni.

Video: Makonda akerwa na machinga wa Kariakoo, awachukulia hatua kali, atoa agizo kwa wakuu wa wilaya
Uhamiaji yatangaza mwisho matumizi ya pasipoti za zamani