JPM achukizwa mzaha vita dawa za kulevya, Gwajima afunguka, Dkt. Slaa ampa pole, asema hatamshtaki atamkatia rufaa kwa Rais, Majambazi walivyopora mamilioni kwa urahisi… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 13, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Dkt. Slaa amtumia ujumbe Gwajima kuhusu Dawa za Kulevya
Nape apiga ‘stop’ zuio la TCRA kuhusu TV za mtandaoni