JPM akwepa mtego wa kuvunja katiba, akataa ushauri wa makada CCM kuongezewa muda wa urais, Manji amkataa wakili, wake kisa Chadema, Lissu apewa onyo la mwisho…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 8, 2017. Tazama video hapa

Kenyatta: mkipiga kura rudini nyumbani
Zuma kitanzini tena, bunge kuamua hatma yake