Agosti 5, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni wamezindua ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga nchini Tanzania.

Dar24.com tulifika Tanga ha hapa tumekuletea matukio jinsi maelfu ya wananchi wa Tanga na maeneo mbali mbali walivyopokea mradi huo kwa shangwe huku wengine kutokana na watu jinsi waliyokuwa wengi wamekosa hadi usafiri wa kufika eneo ambalo uzinduzi wa mradi huo ulipofanyika. Tazama hapa

Video: ACT watangaza mkutano kujadili siasa nchini
Simbu aing'arisha Tanzania mbio za marathon