JPM amchana laivu Mwijage, anusa harufu ya rushwa mchakato wa ufungaji mita bandarini, awaonya mawaziri husika wasipojipanga, Mbunge Chadema aogopa kwenda jela, Maalim Seif aenda kuchunguzwa India…,  Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 7, 2017. Tazama video hapa

Tamko la Chadema zuio la kongamano Geita
Marekani, Urusi mambo yaiva, sasa wakutana uso kwa uso