JPM amkingia kifua Makonda, amwambia asibabaishwe kuandikwa katika mtandao, amtaka achape kazi, Serikali yakana kumshikilia Yusuph Manji, Lowassa ‘atolewa uvivu’ na UVCCM, wamtaka amuache JPM, wamrushia kombora Kingunge…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 21, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Lissu ataja mikakati yake ndani ya TLS
Okwi Kuiongoza Cranes Dhidi Ya Harambee Stars