JPM apiga tena, Majaliwa apoza sakata la mchanga wa madini, Ndesamburo alijitabiria kifo, Mtei aelezea mshtuko mwasisi mwenza kutangulia, Mazito yaibuka kesi ya Malikia meno ya tembo…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Juni 2, 2017.

Tanzania Yaporomoka Viwango Vya Ubora Duniani
Raila Odinga atuma ombi lake kwa Lowassa kuhusu Uchaguzi Kenya