Magufuli ataja sababu kuzuia Dpp asiwe Jaji, Dkt. Bashiru awanolea panga mafisadi waliojibanza CCM, Korosho yaingizia Serikali trilioni 1, Msako mkali mauaji ya watoto Njombe, Kesi ya Zitto yakwama kuanza kusikilizwa, Hakimu kesi ya Mbowe afunguka, Muswada wa vyama watibua hewa, CCM waupitisha, Bundi aibua taharuki Bungeni, UN yalaani vifo watoto Njombe, Bosi Nida, wenzake wapewa mashtaka 100.

Usalama: Marekani yazihofia Korea Kaskazini, China na Urusi
CCM yasikitishwa na vitendo vya kikatili dhidi ya watoto mkoani Njombe