JPM ashtusha, msimamo wake wa kuzuia wanafunzi wanaopata ujauzito kurudi shuleni wadaiwa kupingana na ilani ya chama chake, Kiama viwanda 179, Rais Magufuli aagiza waliovitelekeza wanyang’anywe mara moja, asema viwanda hivyo vimekufa, kubadilishwa matumizi, Serikali yamwaga ajira mpya tena…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Juni 24, 2017.

Mwanasheria mkuu TBS ahukumiwa miaka mitano jela
SportsPesa kuwatosa wakenya, yasema itavunja mikataba yote KPL