JPM atema nyongo, aeleza namna fedha zilivyokuwa zinaliwa, Wakurugenzi walevi sasa wakalia kuti kavu, Takukuru wafunguka sakata la rushwa Arusha, Nassari kuwasilisha ushahidi mwingine muhimu leo, Siku, saa, dakika za mwisho kabla Ben Saanane kutoweka…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 4, 2017. Tazama video

Kortini kwa kusambaza taarifa za uongo mazungumzo ya Serikali na Acacia
Catalonia kujitenga na Hispania