JPM atinga tena bandarini Dar, abaini kontena 20 za mchanga wa madini ukitoroshwa, mengine 10 ya magari ya kifara Wanywaji viroba waipongeza Serikali…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 24, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Live: Kuapishwa kwa Mawaziri, Mabalozi Ikulu
Magazeti ya Tanzania leo Machi 24, 2017