JPM atoa angalizo zito kwa viongozi, awataka kuwa tayari kukumbana na changamoto katika uongozi wao, Chadema wapania bunge la Bajeti, Wasomi nchini wazungumzia mabadiliko ya pili ndani ya TRA…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 25, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Simbachawene atoa siku 30 madeni ya uhamisho wa waalimu yawe yamelipwa
Maafisa habari watakiwa kutangaza mafanikio ya miradi