JPM atoa onyo kwa wanasiasa, awataka wachunge midomo yao suala la Masheikh, Bandari Dar sasa habari nyingine, Magufuli azindua mradi mkubwa wa upanuzi, itakuwa na viwango vya kimataifa na mitambo ya kisasa, Rugemalira, Sethi wa Escrow kizimbani leo…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 3, 2017.

Qatar yapewa masaa 48 kutimiza masharti
Rais Magufuli amuonya Lowassa