JPM atumbua vigogo 300, Faru John sasa ‘kufa’ na vigogo… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 20, 2016, Ungana na Dar24 Magazeti  kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Wizara ya afya yaja na mfumo mpya kuwabana madaktari
JPM ateua mrithi wa Pole Pole