JPM azuia ujenzi wa hoteli ya kifahari sabasaba, Mahabusu chungu kwa vigogo 29, Idadi ya vigogo wa kada tofauti wanaosota rumande katika magereza mbali mbali hapa nchini, yakiwemo Keko na Segerea yaliyopo Dar es salaam yaongezeka, Chuma kinachodhaniwa kuwa bomu chaua Geita…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 2, 2017.

JPM anena mazito,asema Serikali itajenga bwawa la umeme
Horn Aishangaza dunia, ampiga Pacquiao... Damu zatawala pambano