Leo  Juni 24 – 2016 Dar24 imeziweka Headlines zilizopo katika magazeti ya hapa TZ ili upate kuzipitia.

Magazeri mengi yameandika hii ya Rais Magufuli kuwalinda wastaafu –>>>Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amesema kwamba serikali itawalinda wastaafu nchini wakiongozwa na viongozi wakuu wa umma ili wawe na heshma yao ndani ya jamii.

”Rais Mstaafu Jakaya Kikwete wewe pumzika kwa raha zako , upo salama watachonga wee lakini mimi kama Rais wa awamu ya tano nipo tayari kuwalinda watumishi wote wastaafu kwa kuthamini mchango wao ndani ya taifa hili” – Rais Magufuli.

Entente Setif Yaondolewa Ligi Ya Mabingwa Afrika
Shomari Kapombe, Pascal Wawa Wafanyia uchunguzi Wa Kiafya