Watoto 10 wachinjwa, Raila azidiwa ghafla uwanja wa ndege, PM aagiza wanaodai korosho kulipwa Feb. 15, Upigaji wa kutisha mabilioni wadhibitiwa Bodi ya Mikopo, Mapya kesi kugombea mazishi mfanyabiashara, Vyama 10 vyaliangukia Bunge, Madhehebu ya dini yafutiwa kodi ya ardhi.

 

Marekani yamtega Maduro kwa mabalozi wake, ‘aguse aone’
Wananchi wachoma kanisa, wadai linawaletea pepo wachafu