Rais wa Marekani Barack Obama na Rais mteule Donald Trump wamefanya mkutano wao wa kwanza Ikulu Marekani baada ya uchaguzi na kujadiliana masuala mbalimbali.

Mkutano huo uliofanyika bila wanahabari na baadaye waliongea na waandishi wa habari ambapo Rais Obama amesema  kuwa kipaumbele chake namba moja katika miezi miwili ijayo ni kujaribu kuwezesha na kuhakikisha kwamba mpito wa Rais Mteule, Donald Trump unafanikiwa.

Amesema kuwa kama Trump amefanikiwa, basi nchi inafanikiwa.

Video: DVI kuboresha huduma za vikundi vya SACCOS, VICOBA na taasisi za kifedha

Mmiliki wa Facebook afunguka kuhusu tuhuma za kumpandisha Trump
Uenyekiti CUF: Mahakama Kuu yawapa Lipumba, Msajili Siku 7