Aliyekuwa Mwenyekiti wa (Bavicha) wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Patrobas Katambi amesema kuwa ana orodha ya vigogo 11 mafisadi wa upinzani.

Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam ambapo amemtaka mbunge wa Kigoma, Zito Kabwe kujitathmini.

“Niseme tu kwamba Zitto anatakiwa ajitathmini kwa kile anachokifanya, huyu ni fisadi mkubwa na anawaaminisha Watanzania uongo,”amesema Katambi

 

LIVE IKULU: Rais Magufuli Akimwapisha Jaji Kiongozi na Majaji wa Mahakama ya Rufani
LIVE: Rais Magufuli akizinduzi Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo awamu ya Pili