Katibu CCM auawa kwa risasi nne, Mali za kigogo zashikiliwa, zipo nyumba za kifahari na viwanja zaidi ya 30 katika mikoa mbali mbali, Wanafunzi 3 majeruhi Vincent wasafirishwa, ni safari ya matumaini, wasindikizwa na wazazi wao, daktari, muuguzi, Ndege iliyowachukua ni ya mtoto wa muhubiri Bill Graham wa Marekani, UVCCM yajibu mapigo ya Lowassa…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 14, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania. Bofya hapa kutazama.

Tazama hapa yanayojiri Bungeni Dodoma leo Mei 15, 2017

Korea Kaskazini yazidi kuichefua Marekani
Lema: ubarikiwe Nyalandu, umefanya kazi kubwa sana kwa hawa watoto