Baada ya mwenyekiti wa tiba asili na tiba mbadalaDkt. Edmund Kayombo kutangaza kuwafutia usajili Dkt. Mwaka, Dkt. Mandai na wengine, Katibu Mkuu wa shirikisho la vyama vya asili Tanzania amedai kutokutambua tamko hilo na hata wajumbe wa kamati ya maadili hawakujadili kuwafutia usajili bali kuwaadhibu kisheria.

Dar24 imeongea na Mandai Herbal Clinic ambao pia wamefungia na wamesema wapo katika vikao hivyo baada ya vikao hivyo kumalizika watatoa tamko lao na sisi tutakupa taarifa hizo bila mipaka. #USIPITWE

 

Dkt. Mwaka, Mandai na Fadhil wa Fadhaget Clinic Wafutiwa usajili na Wengine Wapewa Onyo

Video: Diamond ft P'Square - Kidogo
Q Chief Afungukia Mchango wa Diamond kwenye Muziki