Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na viongozi wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) walioomba kukutana naye na kujitambulisha, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Bofya hapa kutazama mwanzo mwisho