Kenyatta, Odinga mchuano mkali, Waliopiga mabilioni viwanda kitanzani, zimebaki saa 24 majina yote watuhumiwa kuwanikwa, mchakato safari Segerea kuanza, Agizo JPM lashusha ada vyuo vikuu…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 9, 2017. Tazama video hapa

B12 ainyooshea mikono The Playlist ya Times FM, Lil Ommy amjibu
Dkt. Mpango aitaka wizara kutoa huduma kwa weledi